Posts

Showing posts from April 23, 2017

JINSI YA KUDELETE FACEBOOK ACCOUNT MOJA KWA MOJA(MILELE)

Image
    JE UMECHOSHWA NA ACCOUNT YAKO YA FACEBOOK NA UNAHITAJI KUIFUTA PERMANENTLY USIIONE WALA USIPATIKANE TENA KWA MUDA MFUPIII????          USIJALI SULUHISHO LIMEPATIKA FUATA MAELEZO VIZURII KABISA UTAFURAHII  Kuna njia mbali mbali sana zinazotolewa lakini zingine zinakuwa ndefu kiasi cha kushindwa kuzimudu na watu wengine kuishia kuzima akauti zao.    Sasa suluhisho lipo hapa              shacktherapy.blogspot.com             HATUA ZA KUFUATA...  1. Fungua browser na uingie kwenye akaunti yako kupitia browser.   NB. Hakikisha umelog out kwenye Facebook app 2. Baada ya hapo kata kupitia home button kisha clear recent app used. 3. Baada ya hapo ingia kwenye browser upya juu mahali pa kuingiza URL ingiza linki hii      www.facebook.com/help/delete account Hapo utakuwa katika stage ya mwisho kabisa watakwambia kuingiza password ya ...