Posts

Showing posts from April 16, 2017

JINSI YA KU_ROOT(ANDROID) FAIDA&HASARA ZAKE

Image
      ANDROID NI NINI..??    Android ni Mfumo endeshi  wa simu (Operating System) ambao unaboreshwa siku hadi siku.(kutokana na maendeleo ya teknolojia)  Mfumo huu una majina tofauti kutegemeana na toleo lake....        Baadhi ya android version ni kama zifuatazo...    1....Jelly Bean (4.1 – 4.3.1)   2.....KitKat (4.4 – 4.4.4)             3....Lollipop (5.0 – 5.1.1)   4....Marshmallow(6.0_6.1.1)   5.....Naugaty7.0 Matoleo haya huboreshwa kadri yanavyozidi kutolewa.         Kujua toleo la simu yako nenda   Settings – About phone – Android Version. Ukikuta Marshmallow,lollipop au naugaty hongeara! kwani unatumia matoleo ya mwisho yalioboreshwa!!      Mfumo huu wa Android unafaa kufanyiwa settings mbalimbali na kuwekewa Program mbalimbali ili kumfanya mtumiaji aifurahie simu yake kwa asilimia 100, lakini shida huja kwamb...

JINSI YA KURUDISHA DATA ZAKO ZILIZOPOTEA (SMARTPHONE)

Image
JE WEWE NI MUATHIRIKA WA KUPOTEZA DATA ZAKO KATIKA SIMU YAKO..???  EITHER ULIZIFUTA AU BAHATI MBAYA      sasa ondoa shaka kabisa suluhisho limepatikana kupitia blog yetu hiiii sasa utaweza kurudisha data zako zote ikiwa ni sms mesenger au hata whatsapp kama inavyoonekana hapo..         Vitu hivyo vyote unaweza ukavipata kama vilikupotea unachotakiwa kufanya ni kufuata hatua zifuatazo       Nenda play Store Katafute app inaitwa GT RECOVER KAMA unavoiona hapo chiniiii     Baada ya hapo sasa unachotakiwa kufanya ni kuchagua unataka kurecover nini na utapata vitu vyako vyoteee...    Sehemu ya kuchagua vitu vya kurudisha ipo kama ifuatavyo na wewe utachagua unachotaka kurudisha tyuuuu Na hapo itakua umefikia hatua ya mwisho kabisaaa asante kwa kutembelea blog yetu endelea kushare kwa wenzako na kama utakua na tatizo tutakusaidia      NB: ILI KUFANIKISHA ZOEZI HILI NI LAZIMA S...

JINSI YA KURESET PASSWORD YA SIMU ZA ANDROID

JE UMESAHAU PATTERN, PASSWORD AU PINCODE YA SIMU YAKO YA ANDROID NA HUJUI NINI CHA KUFANYA....?????  SASA USIJALI ONDOA WASIWASI NA HOFU YAKO YOTE WALA USIFIKIRIE KUIPELEKA SIMU YAKO KWA FUNDI WEWE MWENYEWE UNAWEZA UKA SOLVE TATIZO HILO KUPITIA BLOG YETU HAPA UTAPATA KUJUA NINI CHAKUFANYA.      kuna njia kuu tatu ambazo zitaweza kukusaidia wewe kuokoa simu yako njia hizo ni kama ifuatavyo        1.RESET FACTOR  njia hiii sio nzuri sanaaa kwani hufanya simu kua mpya kabisa yani hufuta kila kitu katika simu yako       HATUA ZA KUFUATA    1...zima simu yako     2...ukiwa umeshaizima sasa iwashe ukiwa umeshikilia power button pamoja na volume down au volume down na up kwa pamoja vyote vitatu      3...sasa simu yako itawaka na italeta maneno mengiii hapo itakubidi utumie button ya volume down hadi ufikie sehemu iliyoandikwa reset factor alafu utabonyeza power button  cmu itajizima ...