FAHAMU JINSI YA KUEKA 3G NA 4G KATIKA SIMU YAKO YA ANDROID
KUTOKANA NA TATIZO LA SIMU NYINGI KUSUMBUA KATIKA INTERNET YANI KUPATA MINARA YA 4G AU 3G SASA SULUHISHO LINAPATIKANA KATIKA BLOG YETU FREE 🆓 UNACHOTAKIWA NI KUFUATA HATUA ZIFUATAZO KWA UMAKINI KABISA NA KAMA UTASHINDWA USIJALI TUPO KWA AJILI YAKO MTEJA WETU HATUA ZA KUFUATA... Go to 1....Settings 2.......Click “More” 3.......kisha nenda mpaka “Mobile Networks” 4....... Unachohitaji kufanya sasa ni kubonyeza “Network Mode” 5........Select “WCDMA (preferred) / GSM. Hiiii itaruhusu hata kwa zile simu ambazo laini moja haipandi 3G kuweza kufanya kazi vizur katika eneo ambalo 3G inapatikana.... Mpaka hapo kwa zile simu ambazo line moja haisomi 3G itakua ishafanikisha kwa upande mmoja au mwengine kuhusu 4G somo linaendeleaaa.... Kama unataka kutumia 3G only katika simu yako wee select “WCDMA Only” option. ila katika hiiii utakapo kaaa katika eneo ambalo halisuport iyo 3G hautaweza kutumia Internet kwa namna moja...