Posts

JINSI YA KUDELETE FACEBOOK ACCOUNT MOJA KWA MOJA(MILELE)

Image
    JE UMECHOSHWA NA ACCOUNT YAKO YA FACEBOOK NA UNAHITAJI KUIFUTA PERMANENTLY USIIONE WALA USIPATIKANE TENA KWA MUDA MFUPIII????          USIJALI SULUHISHO LIMEPATIKA FUATA MAELEZO VIZURII KABISA UTAFURAHII  Kuna njia mbali mbali sana zinazotolewa lakini zingine zinakuwa ndefu kiasi cha kushindwa kuzimudu na watu wengine kuishia kuzima akauti zao.    Sasa suluhisho lipo hapa              shacktherapy.blogspot.com             HATUA ZA KUFUATA...  1. Fungua browser na uingie kwenye akaunti yako kupitia browser.   NB. Hakikisha umelog out kwenye Facebook app 2. Baada ya hapo kata kupitia home button kisha clear recent app used. 3. Baada ya hapo ingia kwenye browser upya juu mahali pa kuingiza URL ingiza linki hii      www.facebook.com/help/delete account Hapo utakuwa katika stage ya mwisho kabisa watakwambia kuingiza password ya ...

JINSI YA KU_ROOT(ANDROID) FAIDA&HASARA ZAKE

Image
      ANDROID NI NINI..??    Android ni Mfumo endeshi  wa simu (Operating System) ambao unaboreshwa siku hadi siku.(kutokana na maendeleo ya teknolojia)  Mfumo huu una majina tofauti kutegemeana na toleo lake....        Baadhi ya android version ni kama zifuatazo...    1....Jelly Bean (4.1 – 4.3.1)   2.....KitKat (4.4 – 4.4.4)             3....Lollipop (5.0 – 5.1.1)   4....Marshmallow(6.0_6.1.1)   5.....Naugaty7.0 Matoleo haya huboreshwa kadri yanavyozidi kutolewa.         Kujua toleo la simu yako nenda   Settings – About phone – Android Version. Ukikuta Marshmallow,lollipop au naugaty hongeara! kwani unatumia matoleo ya mwisho yalioboreshwa!!      Mfumo huu wa Android unafaa kufanyiwa settings mbalimbali na kuwekewa Program mbalimbali ili kumfanya mtumiaji aifurahie simu yake kwa asilimia 100, lakini shida huja kwamb...