JE UMESAHAU PATTERN, PASSWORD AU PINCODE YA SIMU YAKO YA ANDROID NA HUJUI NINI CHA KUFANYA....????? SASA USIJALI ONDOA WASIWASI NA HOFU YAKO YOTE WALA USIFIKIRIE KUIPELEKA SIMU YAKO KWA FUNDI WEWE MWENYEWE UNAWEZA UKA SOLVE TATIZO HILO KUPITIA BLOG YETU HAPA UTAPATA KUJUA NINI CHAKUFANYA. kuna njia kuu tatu ambazo zitaweza kukusaidia wewe kuokoa simu yako njia hizo ni kama ifuatavyo 1.RESET FACTOR njia hiii sio nzuri sanaaa kwani hufanya simu kua mpya kabisa yani hufuta kila kitu katika simu yako HATUA ZA KUFUATA 1...zima simu yako 2...ukiwa umeshaizima sasa iwashe ukiwa umeshikilia power button pamoja na volume down au volume down na up kwa pamoja vyote vitatu 3...sasa simu yako itawaka na italeta maneno mengiii hapo itakubidi utumie button ya volume down hadi ufikie sehemu iliyoandikwa reset factor alafu utabonyeza power button cmu itajizima ...
Comments