FAHAMU JINSI YA KUEKA 3G NA 4G KATIKA SIMU YAKO YA ANDROID

 KUTOKANA NA TATIZO LA SIMU NYINGI KUSUMBUA KATIKA INTERNET YANI KUPATA MINARA YA 4G AU 3G SASA SULUHISHO LINAPATIKANA KATIKA BLOG YETU FREE 🆓  
 UNACHOTAKIWA NI KUFUATA HATUA ZIFUATAZO KWA UMAKINI KABISA NA KAMA UTASHINDWA USIJALI TUPO KWA AJILI YAKO MTEJA WETU 
   HATUA ZA KUFUATA... 
Go to
1....Settings

 2.......Click “More”

3.......kisha nenda mpaka “Mobile Networks”

4.......  Unachohitaji kufanya sasa ni kubonyeza   “Network Mode”

5........Select “WCDMA (preferred) / GSM. Hiiii itaruhusu hata kwa zile simu ambazo laini moja haipandi 3G kuweza kufanya kazi vizur katika eneo ambalo 3G inapatikana....

Mpaka hapo kwa zile simu ambazo line moja haisomi 3G itakua ishafanikisha kwa upande mmoja au mwengine kuhusu 4G somo linaendeleaaa....

Kama unataka kutumia 3G only katika simu yako wee select “WCDMA Only” option. ila katika hiiii utakapo kaaa katika eneo ambalo halisuport iyo 3G hautaweza kutumia Internet kwa namna moja au nyengine...

 Hivyo bhass inashauriwa kutumia  au kuchaguaWCDMA (proffered) / GSM” option  ili cmu iweze kufanya kaz vzur mpaka hapo hatua 3G  itakua imekamilika

       SASA NI WAKATI WA NETWORK PENDWA YENYE KASI YA 4G SOMO HILI LINAKUJA HIVI KARIBUNI ILA UNASHAURIWA UWE UMEROOT SIMU NA UWE NA ANDROID VERSION KUANZIA 5.1(LOLIPOP)  MPAKA MARSHMALLOW......    


         Imeandaliwa na  
@ABDULSHAKUR_SYLVESTER 

              KWA MAWASILIANO
           ABDULSHAKUR
      @SHACKTHERAPY
      +255 627 950 542
       FUTURE  PROGRAMMER 



Comments

Njoo tuifanye iwe shacktherapy.com kwa Tsh 25,000 tuu!!!
shacktherapy said…
Ucjali boss najipanga tyuu nakuja kuchkua domain kwako yani

Popular posts from this blog

JINSI YA KURESET PASSWORD YA SIMU ZA ANDROID