JINSI YA KURUDISHA DATA ZAKO ZILIZOPOTEA (SMARTPHONE)

JE WEWE NI MUATHIRIKA WA KUPOTEZA DATA ZAKO KATIKA SIMU YAKO..??? 
EITHER ULIZIFUTA AU BAHATI MBAYA 
   sasa ondoa shaka kabisa suluhisho limepatikana kupitia blog yetu hiiii sasa utaweza kurudisha data zako zote ikiwa ni sms mesenger au hata whatsapp kama inavyoonekana hapo.. 
     
 Vitu hivyo vyote unaweza ukavipata kama vilikupotea unachotakiwa kufanya ni kufuata hatua zifuatazo    
  Nenda play Store Katafute app inaitwa GT RECOVER KAMA unavoiona hapo chiniiii 
   Baada ya hapo sasa unachotakiwa kufanya ni kuchagua unataka kurecover nini na utapata vitu vyako vyoteee...  
 Sehemu ya kuchagua vitu vya kurudisha ipo kama ifuatavyo na wewe utachagua unachotaka kurudisha tyuuuu
Na hapo itakua umefikia hatua ya mwisho kabisaaa asante kwa kutembelea blog yetu endelea kushare kwa wenzako na kama utakua na tatizo tutakusaidia 
    NB:ILI KUFANIKISHA ZOEZI HILI NI LAZIMA SIMU YAKO IWE ROOTED KAMA SIMU YAKO HUJAIROOT HAUTAFANIKIWA..  KWA NJIA HII.. 
    IMEANDALIWA NA 
       @ABDULSHAKUR 

 KWA MAWASILIANO 
   @PA_QUE_SHACKTHERAPY 
    0627950542 
ABDULSHAKUR 
FUTURE PROGRAMMER 

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KURESET PASSWORD YA SIMU ZA ANDROID

FAHAMU JINSI YA KUEKA 3G NA 4G KATIKA SIMU YAKO YA ANDROID