JINSI YA KUDELETE FACEBOOK ACCOUNT MOJA KWA MOJA(MILELE)

    JE UMECHOSHWA NA ACCOUNT YAKO YA FACEBOOK NA UNAHITAJI KUIFUTA PERMANENTLY USIIONE WALA USIPATIKANE TENA KWA MUDA MFUPIII???? 
       USIJALI SULUHISHO LIMEPATIKA FUATA MAELEZO VIZURII KABISA UTAFURAHII 


Kuna njia mbali mbali sana zinazotolewa lakini zingine zinakuwa ndefu kiasi cha kushindwa kuzimudu na watu wengine kuishia kuzima akauti zao.    Sasa suluhisho lipo hapa           
 shacktherapy.blogspot.com


           HATUA ZA KUFUATA... 
1. Fungua browser na uingie kwenye akaunti yako kupitia browser.  

NB. Hakikisha umelog out kwenye Facebook app

2. Baada ya hapo kata kupitia home button kisha clear recent app used.

3. Baada ya hapo ingia kwenye browser upya juu mahali pa kuingiza URL ingiza linki hii 

   www.facebook.com/help/delete account

Hapo utakuwa katika stage ya mwisho kabisa watakwambia kuingiza password ya facebook na baada ya kuingiza password italog out automatic.  


NB. Usiingie kwenye akaunti yako kabisa kwa siku 14 kisha jaribu kuitafuta akaunti yako kupitia simu nyingine hutaipata.

Siku 90 ziipita huwezi kuirejesha upya akaunti yako
Kama unataka kutoka kwa muda zima akaunti yako usiifute      
       

 kama hivi tauar mwishoo 



IMEANDALIWA NA 
@ABDULSHAKUR  
KWA MAWASILIANO 
+255-62-79_5054_2(WhatsApp) 
PÁ_QÚÉ SHACKTHERAPY (FACEBOOK)   
ABDULSHAKUR 

    

Comments

Unknown said…
Imetulia imeeleweka
Unknown said…
Wewe kiboko aise sijapata ona mautundu kama haya uliyo yaleta wewe ndio
Shacktherapy
Hakunaga kama ww
Unknown said…
Sijaelewa sehemu ndogo ila inamaana kubwa

Popular posts from this blog

JINSI YA KURESET PASSWORD YA SIMU ZA ANDROID

FAHAMU JINSI YA KUEKA 3G NA 4G KATIKA SIMU YAKO YA ANDROID